Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 25:14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Wakati huo, mtumishi mmoja akamletea Abigaili mke wa Nabali habari hii: “Tazama! Daudi aliwatuma wajumbe kutoka nyikani ili kumtakia mema bwana wetu, lakini aliwatukana vikali.+

  • 1 Samweli 25:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Sasa amua utakalofanya, kwa maana kwa hakika bwana wetu ataangamizwa pamoja na nyumba yake yote,+ naye ni mtu asiyefaa kitu* hivi+ kwamba hakuna mtu anayeweza kuzungumza naye.”

  • Mathayo 27:3, 4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 3 Ndipo Yuda, ambaye alimsaliti, alipoona Yesu amehukumiwa, akajuta na kuwarudishia wakuu wa makuhani na wazee vile vipande 30 vya fedha,+ 4 akisema: “Nilitenda dhambi niliposaliti damu isiyo na hatia.” Wakamwambia: “Hilo linatuhusuje? Shauri yako!”*

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki