Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 18:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 Daudi akaanza kwenda vitani, naye alifanikiwa*+ popote alipotumwa na Sauli. Basi Sauli akamweka asimamie wanajeshi vitani,+ na jambo hilo likawafurahisha watu wote na pia watumishi wa Sauli.

  • Nehemia 7:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Kisha nikamweka ndugu yangu Hanani+ asimamie Yerusalemu, pamoja na Hanania mkuu wa Ngome,+ kwa maana alikuwa mwanamume mwaminifu zaidi na alimwogopa Mungu wa kweli+ kuliko watu wengine wengi.

  • Zaburi 101:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  6 Nitawatazama waaminifu wa dunia,

      Ili wakae nami.

      Yule anayetembea bila lawama* atanihudumia.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki