Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 5:20-22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Gehazi+ mtumishi wa Elisha mtu wa Mungu wa kweli+ akasema moyoni mwake: ‘Tazama, Bwana wangu amemwacha huyu Naamani Msiria+ aende zake kwa kukataa kupokea vitu alivyoleta. Kwa hakika kama Yehova anavyoishi, nitakimbia na kumfuata, nichukue kitu fulani kutoka kwake.’ 21 Kwa hiyo Gehazi akamfuata mbio Naamani. Naamani alipoona mtu fulani akimfuata mbio, akashuka kutoka kwenye gari lake na kwenda kumpokea, akamuuliza: “Je, mambo yote yako sawa?” 22 Akasema: “Mambo yote yako sawa. Bwana wangu amenituma nikwambie, ‘Tazama! Sasa hivi vijana wawili kutoka kwa wana wa manabii wamekuja kwangu kutoka katika eneo lenye milima la Efraimu. Tafadhali, wape talanta moja ya fedha na mavazi mawili.’”+

  • Yeremia 17:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Kama kwale anayekusanya kile ambacho hakutaga,

      Ndivyo alivyo mtu anayekusanya utajiri kwa udanganyifu.*+

      Atauacha katikati ya maisha yake,

      Na mwishowe ataonekana hana akili.”

  • 1 Timotheo 6:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Lakini wale ambao wameazimia kuwa matajiri huanguka kwenye majaribu, na mtego,+ na tamaa nyingi za kijinga zenye kudhuru ambazo hutumbukiza watu kwenye maangamizi na uharibifu.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki