-
Kumbukumbu la Torati 28:8Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
8 Yehova atawaagizia baraka katika maghala yenu+ na katika kila kazi mnayofanya, na kwa hakika atawabariki katika nchi ambayo Yehova Mungu wenu anawapa.
-
-
Zaburi 4:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Umeujaza moyo wangu shangwe nyingi sana
Kuliko wale walio na mavuno mengi sana ya nafaka na divai mpya.
-