-
Isaya 41:7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
7 Kwa hiyo fundi anamwimarisha mfua chuma;+
Yule anayelainisha kwa nyundo ya chuma
Anamwimarisha yule agongaye kwenye fuawe.
Anasema hivi kuhusu lehemu: “Ni nzuri.”
Kisha inapigiliwa misumari ili isianguke.
-
-
Isaya 46:6, 7Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Kuna wale wanaomwaga dhahabu kwa wingi kutoka kwenye mikoba yao;
Wanapima fedha katika mizani.
Wanamwajiri mfua chuma, naye huitengeneza kuwa mungu.+
Kisha wanasujudu, naam, wanaiabudu.*+
7 Wanaiinua na kujitwika mabegani;+
Wanaibeba na kuiweka mahali pake, nayo husimama papo hapo.
Haiondoki mahali pake.+
Wanaipazia sauti, lakini haiwajibu;
Haiwezi kumwokoa yeyote kutoka katika taabu yake.+
-
-
Yeremia 10:3, 4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Kwa maana desturi za mataifa ni udanganyifu.*
-