-
Mika 7:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Adui yangu pia ataona,
Na aibu itamfunika yule aliyeniambia:
“Yuko wapi Yehova Mungu wako?”+
Macho yangu yatamtazama adui yangu.
Sasa atakanyagwa-kanyagwa kama matope barabarani.
-