Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 12:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Tazama! Mungu ni wokovu wangu.+

      Nitamtumaini nami sitaogopa;+

      Kwa maana Yah* Yehova ni nguvu zangu na uwezo wangu,

      Naye amekuwa wokovu wangu.”+

  • Hosea 13:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Lakini mimi ni Yehova Mungu wenu kuanzia* mlipokuwa nchini Misri;+

      Hamkumjua Mungu mwingine yeyote isipokuwa mimi,

      Na hakuna mwokozi mwingine yeyote ila mimi.+

  • 1 Timotheo 2:3
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
  • Yuda 25
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 25 kwa Mungu pekee aliye Mwokozi wetu kupitia Yesu Kristo Bwana wetu, kuwe na utukufu, ukuu, nguvu, na mamlaka kwa umilele wote uliopita na sasa na mpaka umilele wote. Amina.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki