Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mambo ya Walawi 3:14-16
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 14 Atamtolea Yehova mafuta yanayofunika matumbo, naam, mafuta yote yaliyo juu ya matumbo kuwa dhabihu inayochomwa kwa moto,+ 15 pamoja na figo zake mbili na mafuta yake yaliyo karibu na kiuno. Ataondoa pia figo pamoja na mafuta yaliyo juu ya ini. 16 Kuhani ataviteketeza vitu hivyo kwenye madhabahu kama chakula* ili vifuke moshi, ni dhabihu inayochomwa kwa moto yenye harufu inayopendeza.* Mafuta yote ni ya Yehova.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki