Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 44:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 “Kumbuka mambo haya, Ee Yakobo, na wewe, Ee Israeli,

      Kwa maana wewe ni mtumishi wangu.

      Nilikutokeza, nawe ni mtumishi wangu.+

      Ee Israeli, sitakusahau.+

  • Yeremia 31:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 “Je, Efraimu si mwana mwenye thamani kwangu, au mtoto mpendwa?+

      Kwa maana kila mara ninapomshutumu, bado ninamkumbuka.

      Ndiyo sababu hisia zangu zimechochewa* kwa ajili yake.+

      Nami hakika nitamhurumia,” asema Yehova.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki