Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kutoka 14:21
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 21 Sasa Musa akaunyoosha mkono wake juu ya bahari;+ naye Yehova akaisukuma bahari nyuma usiku kucha kwa upepo wenye nguvu wa mashariki, maji yakagawanyika,+ kukawa na nchi kavu+ katikati ya bahari.

  • Kutoka 14:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Lakini Waisraeli walitembea kwenye nchi kavu katikati ya bahari,+ na maji yalisimama kama ukuta upande wao wa kulia na wa kushoto.+

  • Zaburi 106:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Aliikemea Bahari Nyekundu, ikakauka;

      Aliwaongoza katika vilindi vyake kana kwamba wanapitia jangwani;*+

  • Isaya 51:10
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 10 Je, si wewe uliyeikausha bahari, maji ya kilindi kikubwa?+

      Uliyevifanya vilindi vya bahari kuwa njia ili watu waliokombolewa wavuke?+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki