-
Zaburi 107:33Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
33 Yeye hubadili mito kuwa jangwa,
Na chemchemi za maji kuwa ardhi iliyokauka,+
-
Zaburi 114:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
114 Israeli alipotoka Misri,+
Nyumba ya Yakobo ilipotoka kati ya watu waliozungumza lugha ya kigeni,
-
Isaya 42:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 Nitaiharibu milima na vilima
Na kukausha kabisa majani yake yote.
-
-
Nahumu 1:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Bashani na Karmeli hunyauka,+
Na maua ya Lebanoni hunyauka.
-
-
-
-
-