-
Zekaria 12:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 “Nitamimina roho ya kibali na dua juu ya nyumba ya Daudi na juu ya wakaaji wa Yerusalemu, nao watamtazama yule waliyemchoma,+ watamwombolezea kwa sauti kama ambavyo wangemwombolezea mwana wa pekee; watamhuzunikia sana kama ambavyo wangemhuzunikia mwana mzaliwa wa kwanza.
-
-
Yohana 19:34Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
34 Lakini mwanajeshi mmoja akauchoma ubavu wa Yesu kwa mkuki,+ na mara moja damu na maji vikatoka.
-