Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 27:57-60
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 57 Sasa kwa kuwa ilikuwa jioni, akaja tajiri mmoja wa Arimathea, aitwaye Yosefu, ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu.+ 58 Mtu huyu alienda kwa Pilato akaomba apewe mwili wa Yesu.+ Naye Pilato akaamuru apewe.+ 59 Yosefu akauchukua mwili huo, akaufunga kwa kitani bora kilicho safi,+ 60 akaulaza katika kaburi lake jipya,*+ alilokuwa amechimba katika mwamba. Kisha akaviringisha jiwe kubwa kwenye mwingilio wa lile kaburi,* akaondoka.

  • Marko 15:46
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 46 Baada ya kununua kitani bora, akamshusha na kumfunga kwa kile kitani bora na kumlaza katika kaburi*+ lililokuwa limechimbwa katika mwamba; kisha akaviringisha jiwe kwenye mwingilio wa lile kaburi.+

  • Yohana 19:41
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 41 Ilitukia kwamba kulikuwa na bustani mahali alipouawa,* na katika bustani hiyo kulikuwa na kaburi*+ jipya ambamo hakuna mtu alikuwa amewahi kulazwa.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki