Ezekieli 33:6 Tafsiri ya Ulimwegu Mpya 6 “‘Lakini mlinzi akiuona upanga ukija naye asipige pembe+ na watu wasipate onyo nao upanga uje na kumuua mmoja wao, mtu huyo atakufa kwa sababu ya kosa lake mwenyewe, lakini nitaidai damu yake kutoka kwa mlinzi.’*+
6 “‘Lakini mlinzi akiuona upanga ukija naye asipige pembe+ na watu wasipate onyo nao upanga uje na kumuua mmoja wao, mtu huyo atakufa kwa sababu ya kosa lake mwenyewe, lakini nitaidai damu yake kutoka kwa mlinzi.’*+