Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 12:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 2 Mnapaswa kuharibu sehemu zote ambazo watu wa mataifa mtakaomiliki nchi yao wamekuwa wakiabudia miungu yao,+ iwe ni juu ya milima mirefu au kwenye vilima au chini ya mti wowote wenye majani mengi.

  • 1 Wafalme 14:22, 23
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Na watu wa Yuda walikuwa wakitenda maovu machoni pa Yehova,+ na kwa dhambi zao walimkasirisha kuliko walivyofanya mababu zao.+ 23 Pia waliendelea kujijengea mahali pa juu, nguzo takatifu, na miti mitakatifu*+ juu ya kila kilima kirefu+ na chini ya kila mti wenye majani mengi.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki