-
Zaburi 110:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Watu wako watajitoa kwa hiari katika siku ya jeshi lako.*
Katika utakatifu wenye fahari, kutoka katika tumbo la uzazi la mapambazuko,
Una kundi lako la vijana kama matone ya umande.
-