-
Zekaria 9:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Shangilia sana, Ee binti ya Sayuni.
Paza sauti kwa ushindi, Ee binti ya Yerusalemu.
Tazama! Mfalme wako anakuja kwako.+
-
-
Yohana 12:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
15 “Usiogope binti ya Sayuni. Tazama! Mfalme wako anakuja, akiwa ameketi juu ya mwanapunda.”+
-