Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 31:27
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 27 Kwa maana mimi mwenyewe najua vizuri uasi wenu+ na ukaidi wenu.*+ Ikiwa mmekuwa mkimwasi sana Yehova ningali hai pamoja nanyi, basi mtamwasi kadiri gani nikifa?

  • Nehemia 9:29
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 29 Ingawa uliwaonya ili wairudie Sheria yako, walitenda kwa kimbelembele na kukataa kusikiliza amri zako;+ nao wakatenda dhambi kwa kutofuata masharti yako, ambayo mtu akiyafuata ataishi.+ Lakini walikugeuzia mgongo na kufanya shingo zao ziwe ngumu, nao wakakataa kukusikiliza.

  • Zekaria 7:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Lakini waliendelea kukataa kusikiliza,+ wakageuza migongo yao kwa ukaidi,+ na kuziba masikio yao ili wasisikie.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki