Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Yeremia 30:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 “Kwa maana mimi niko pamoja nawe,” asema Yehova, “ili nikuokoe.

      Lakini nitaleta maangamizi katika mataifa yote ambako nilikutawanya;+

      Lakini wewe, sitakuangamiza.+

      Nitakutia nidhamu* kwa kiwango kinachofaa,

      Nami sitakuacha kamwe bila kukuadhibu.”+

  • Amosi 9:8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  8 ‘Tazameni! Macho ya Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova yanautazama ufalme huu wenye dhambi,

      Naye atauangamiza kabisa kutoka nchini.+

      Lakini sitaiangamiza kabisa nyumba ya Yakobo,’+ asema Yehova.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki