-
Isaya 60:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 Na watu wako wote watakuwa waadilifu;
Wataimiliki nchi milele.
-
-
Ezekieli 37:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
21 “Kisha uwaambie, ‘Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi: “Nitawachukua Waisraeli kutoka katika mataifa ambako walienda, nami nitawakusanya pamoja kutoka kila upande na kuwaleta katika nchi yao.+
-