Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 61:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  7 Badala ya aibu mtakuwa na fungu mara mbili,

      Na badala ya fedheha watapiga vigelegele kwa shangwe kwa sababu ya fungu lao.

      Naam, watamiliki fungu mara mbili katika nchi yao.+

      Watakuwa na shangwe milele.+

  • Sefania 3:20
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 20 Wakati huo nitawaleta ndani,

      Wakati nitakapowakusanya pamoja.

      Kwa maana nitawafanya kuwa kitu cha umaarufu* na sifa+ miongoni mwa mataifa yote duniani,

      Nitakapowakusanya mateka wenu mbele ya macho yenu,” asema Yehova.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki