Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 62:4
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  4 Hutaitwa tena mwanamke aliyeachwa,+

      Na nchi yako haitaitwa tena ukiwa.+

      Lakini utaitwa Furaha Yangu Imo Ndani Yake,+

      Na nchi yako itaitwa Aliyeolewa.

      Kwa maana Yehova atafurahishwa nawe,

      Na nchi yako itakuwa kama aliyeolewa.

  • Yeremia 32:41
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 41 Nitafurahia kuwatendea mema,+ nami nitawapanda kwa uthabiti katika nchi hii,+ kwa moyo wangu wote na kwa nafsi* yangu yote.’”

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki