Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 35:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  9 Hakuna simba atakayekuwa huko,

      Na hakuna wanyama hatari wa mwituni watakaokuja kwenye njia hiyo.

      Hawatapatikana huko;+

      Wale waliokombolewa tu ndio watakaotembea katika njia hiyo.+

  • Hosea 2:18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 18 Siku hiyo nitafanya agano na wanyama wa mwituni kwa ajili ya watu wangu,+

      Pia na ndege wa angani na viumbe wa ardhini wanaotambaa;+

      Nitaondoa upinde na upanga na vita nchini,+

      Nami nitawafanya walale* kwa usalama.+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki