-
Yeremia 17:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 Ee Yehova, tumaini la Israeli,
Wote wanaokuacha wataaibishwa.
-
-
Yeremia 17:18Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
18 Wale wanaonitesa na waaibishwe,+
Lakini usiruhusu niaibishwe.
Waache washikwe na hofu,
Lakini usiruhusu nishikwe na hofu.
-