-
Hesabu 21:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Kwa maana moto ulitoka Heshboni, mwali wa moto ulitoka katika mji wa Sihoni.
Umeteketeza jiji la Ari la Moabu, mabwana wa milima ya Arnoni.
-
-
Kumbukumbu la Torati 2:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Ndipo Yehova akaniambia, ‘Msizozane wala kupigana na Wamoabu, kwa sababu sitawapa ninyi sehemu yoyote ya nchi yao ili mwimiliki kwa sababu nimewapa wazao wa Loti+ nchi ya Ari ili waimiliki.
-