-
Yeremia 25:17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
17 Basi nikakichukua kile kikombe kutoka mkononi mwa Yehova na kuyanywesha mataifa yote ambayo Yehova alinituma kwao:+
-
-
Yeremia 25:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 kisha mfalme Farao wa Misri na watumishi wake, wakuu wake, na watu wake wote,+
-
-
Ezekieli 29:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 “Mwana wa binadamu, uelekeze uso wako kwa Farao mfalme wa Misri, na utabiri dhidi yake na dhidi ya nchi yote ya Misri.+
-