Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Isaya 12:2
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  2 Tazama! Mungu ni wokovu wangu.+

      Nitamtumaini nami sitaogopa;+

      Kwa maana Yah* Yehova ni nguvu zangu na uwezo wangu,

      Naye amekuwa wokovu wangu.”+

  • Sefania 3:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Yehova Mungu wako yuko katikati yako.+

      Akiwa Mwenye nguvu, ataokoa.

      Atakushangilia kwa shangwe kubwa.+

      Atakaa kimya* katika upendo wake.

      Atakushangilia kwa kelele za shangwe.

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki