-
Isaya 36:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Basi Rabshake akawaambia: “Tafadhali, mwambieni hivi Hezekia: ‘Mfalme mkuu, mfalme wa Ashuru, anauliza, “Ujasiri wako unategemea msingi gani?+
-
-
Isaya 36:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Ni mungu yupi kati ya miungu yote ya nchi hizi ambaye ameokoa nchi yake kutoka mikononi mwangu, hivi kwamba Yehova aokoe Yerusalemu kutoka mikononi mwangu?”’”+
-