Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 20:8-11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 8 Hezekia alikuwa amemuuliza hivi Isaya: “Ni ishara gani+ itakayonionyesha kwamba Yehova ataniponya na kwamba nitapanda kwenda katika nyumba ya Yehova siku ya tatu?” 9 Isaya akajibu: “Hii ndiyo ishara kutoka kwa Yehova itakayokuonyesha kwamba Yehova atatimiza neno alilosema: Je, unataka kivuli kilicho kwenye ngazi* kiende mbele hatua kumi au kirudi nyuma hatua kumi?”+ 10 Hezekia akasema: “Ni rahisi kivuli kwenda mbele hatua kumi lakini si rahisi kirudi nyuma hatua kumi.” 11 Kwa hiyo nabii Isaya akamwomba Yehova, Naye akafanya kivuli kilichokuwa kwenye ngazi ya Ahazi kirudi nyuma hatua kumi na tayari kilikuwa kimeshuka ngazi.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki