-
Isaya 5:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 Yehova wa majeshi ameapa masikioni mwangu
Kwamba nyumba nyingi, ingawa ni kubwa na maridadi,
Zitakuwa kitu cha kutisha,
Bila mkaaji.+
-
-
Isaya 6:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Ndipo nikauliza: “Ni mpaka lini, Ee Yehova?” Kisha akasema:
“Mpaka majiji yabomoke yawe magofu bila mkaaji
Na nyumba zisiwe na watu
Na nchi iharibiwe na kubaki ukiwa;+
-
Yeremia 2:15Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Waliifanya nchi yake kuwa kitu cha kutisha.
Majiji yake yameteketezwa, hivi kwamba hakuna mkaaji.
-
-
-