-
Mwanzo 19:36Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
36 Kwa hiyo mabinti wote wawili wa Loti wakapata mimba kutoka kwa baba yao.
-
-
Mwanzo 19:38Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
38 Yule mdogo pia alizaa mwana, akampa jina Ben-ami. Yeye ndiye baba ya Waamoni+ wa leo.
-
-
Kumbukumbu la Torati 2:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Mtakapofika karibu na Waamoni, msiwachokoze wala kuzozana nao, kwa sababu sitawapa ninyi nchi yoyote ya Waamoni ili mwimiliki, kwa kuwa nimewapa wazao wa Loti waimiliki.+
-