-
Yeremia 10:21Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Ndiyo sababu hawajatenda kwa ufahamu,
Na kondoo wao wote wametawanyika.”+
-
-
Yeremia 23:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Kwa hiyo Yehova Mungu wa Israeli anasema hivi dhidi ya wachungaji wanaowachunga watu wangu: “Mmewatawanya kondoo wangu; mliendelea kuwatawanya, nanyi hamjawakazia fikira.”+
“Basi nitawakazia ninyi fikira kwa sababu ya matendo yenu maovu,” asema Yehova.
-
-
Ezekieli 34:6Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
6 Kondoo wangu waliendelea kutangatanga kwenye milima yote na kwenye kila kilima kirefu; kondoo wangu walitawanyika kotekote duniani, na hakuna aliyewatafuta au kujitahidi kuwapata.
-