-
Yeremia 50:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Mshambulieni Babiloni mkiwa mmejipanga kivita kila upande,
Ninyi nyote mnaoupinda* upinde.
-
-
Yeremia 50:29Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
Pigeni kambi kumzunguka; msiache yeyote aponyoke.
Mlipeni kulingana na matendo yake.+
-