-
Isaya 44:11Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
11 Tazameni! Wenzake wote wataaibishwa!+
Mafundi ni wanadamu tu.
Wote na wakusanyike na kusimama.
Watashikwa na hofu na kuaibishwa pamoja.
-