-
Yeremia 4:16, 17Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
16 Tangazeni jambo hilo, naam, kwa mataifa;
Litangazeni dhidi ya Yerusalemu.”
“Walinzi* wanakuja kutoka nchi ya mbali,
Nao watapaza sauti zao dhidi ya majiji ya Yuda.
-