-
Habakuki 2:1Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Nitaendelea kusimama katika kituo changu cha ulinzi,+
Nami nitasimama juu ya boma.
Nitaendelea kukaa macho ili nione atakalosema kupitia kwangu
Na lile nitakalojibu nitakapokaripiwa.
-