Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 4:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Isitoshe, Sanduku la Mungu lilitekwa, na wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, wakafa.+

  • Zaburi 78:60
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 60 Mwishowe akaliacha hema la ibada lililo Shilo,+

      Hema alimokaa miongoni mwa wanadamu.+

  • Yeremia 26:6
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 6 basi nitaifanya nyumba hii kama Shilo,+ nami nitalifanya jiji hili kuwa kitu cha kulaaniwa na mataifa yote ya dunia.’”’”+

  • Yeremia 26:9
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 9 Kwa nini umetabiri katika jina la Yehova, ukisema, ‘Nyumba hii itakuwa kama Shilo, na jiji hili litaangamizwa na kuachwa bila mkaaji’?” Na watu wote wakakusanyika kumzunguka Yeremia ndani ya nyumba ya Yehova.

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki