-
Isaya 5:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Ningelifanyia nini kingine shamba langu la mizabibu
Ambacho bado sijafanya?+
Kwa nini, nilipotumaini kwamba litazaa zabibu,
Lilizaa zabibu za mwituni peke yake?
-
-
Mika 6:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 “Watu wangu, nimewafanya nini?
Nimewachoshaje?+
Toeni ushahidi dhidi yangu.
-