Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Kumbukumbu la Torati 8:12-14
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 12 Baada ya kula na kushiba na kujenga nyumba nzuri na kukaa humo,+ 13 ng’ombe wenu na kondoo wenu watakapokuwa wameongezeka na fedha yenu na dhahabu yenu itakapokuwa imeongezeka na mtakapokuwa na wingi wa vitu vyote, 14 msiache mioyo yenu iwe na kiburi+ na kuwafanya mumsahau Yehova Mungu wenu, aliyewatoa nchini Misri, kutoka katika nyumba ya utumwa,+

  • Kumbukumbu la Torati 8:17, 18
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 17 Mkijiambia mioyoni mwenu, ‘Nimepata utajiri huu kwa nguvu zangu mwenyewe na uwezo wa mkono wangu mwenyewe,’+ 18 kumbukeni kwamba Yehova Mungu wenu ndiye anayewapa nguvu za kupata utajiri,+ ili atimize agano lake ambalo aliwaapia mababu zenu, kama ilivyo leo.+

Tanzanian sign language publications (2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki