-
Yeremia 48:2Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
2 Hawamsifu tena Moabu.
Kule Heshboni wamepanga njama ya kumwangusha:+
‘Njooni, tumkomeshe asiwe taifa.’
Wewe pia, ewe Madmeni, unapaswa kukaa kimya,
Kwa maana upanga unakufuata.
-