-
Yeremia 11:19Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
19 Nilikuwa kama mwanakondoo mtulivu anayepelekwa machinjioni.
Sikujua kwamba walikuwa wakipanga njama dhidi yangu:+
“Na tuuangamize ule mti na matunda yake,
Na tumkate kabisa kutoka kwenye nchi ya walio hai,
Ili jina lake lisikumbukwe kamwe.”
-