-
Zaburi 79:4Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
4 Tumekuwa kitu cha kushutumiwa na majirani wetu;+
Wale wanaotuzunguka wanatudhihaki na kutufanyia mzaha.
-
-
Ezekieli 34:28Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
28 Hawatakuwa windo la mataifa tena, na wanyama wa mwituni wa dunia hawatawanyafua, nao wataishi kwa usalama, na hakuna mtu atakayewaogopesha.+
-