-
Isaya 64:10Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
10 Majiji yako matakatifu yamekuwa nyika.
Sayuni imekuwa nyika,
Yerusalemu limekuwa ukiwa.+
-
-
Yeremia 25:9Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
9 ninaziita familia zote za kaskazini,”+ asema Yehova, “ninamwita Mfalme Nebukadneza* wa Babiloni, mtumishi wangu,+ nami nitawaleta dhidi ya nchi hii+ na dhidi ya wakaaji wake na dhidi ya mataifa haya yote yanayozunguka.+ Nitawaangamiza na kuwafanya kuwa kitu cha kutisha na kitu cha kupigiwa mluzi na magofu ya kudumu.
-