-
1 Samweli 17:37Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
37 Kisha Daudi akasema: “Yehova, aliyeniokoa kutoka katika makucha ya simba na ya dubu, ndiye atakayeniokoa kutoka mikononi mwa Mfilisti huyo.”+ Ndipo Sauli akamwambia Daudi: “Nenda, na Yehova awe pamoja nawe.”
-