-
Yeremia 32:20Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
20 Umefanya ishara na miujiza katika nchi ya Misri, nayo inajulikana mpaka leo hii, na hivyo umejijengea jina katika Israeli na kati ya wanadamu,+ kama ilivyo leo.
-
-
Danieli 4:3Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
3 Jinsi ishara zake zilivyo kuu, na jinsi maajabu yake yalivyo yenye nguvu! Ufalme wake ni ufalme wa milele, na utawala wake unadumu kizazi hata kizazi.+
-