Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 18:26
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 26 Ndipo Eliakimu mwana wa Hilkia, na Shebna+ na Yoa wakamwambia Rabshake:+ “Tafadhali, zungumza nasi watumishi wako kwa lugha ya Kiaramu,*+ kwa maana tunaweza kuielewa; usizungumze nasi kwa lugha ya Wayahudi huku watu walio ukutani wakisikia.”+

  • Ezra 4:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 7 Na katika siku za utawala wa Mfalme Artashasta wa Uajemi, Bishlamu, Mithredathi, Tabeeli, na wenzake walimwandikia Mfalme Artashasta; wakaitafsiri barua hiyo katika Kiaramu,+ na kuiandika kwa herufi za Kiaramu.*

  • Isaya 36:11
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 11 Ndipo Eliakimu na Shebna+ na Yoa wakamwambia Rabshake:+ “Tafadhali, zungumza nasi watumishi wako kwa lugha ya Kiaramu*+ kwa maana tunaweza kuielewa; usizungumze nasi kwa lugha ya Wayahudi huku watu walio ukutani wakisikia.”+

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki