Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 1 Samweli 2:7, 8
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  7 Yehova humfanya mtu awe maskini, naye hutajirisha;+

      Hushusha, naye hukweza.+

       8 Humwinua mtu wa hali ya chini kutoka mavumbini;

      Humwinua maskini kutoka katika rundo la majivu,*+

      Ili awafanye wakae pamoja na wakuu,

      Na kuwapa kiti cha heshima.

      Nguzo za dunia ni za Yehova,+

      Naye huweka nchi inayozaa juu yake.

  • Zaburi 75:7
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    •  7 Kwa maana Mungu ni Mwamuzi.+

      Humshusha huyu na kumkweza yule.+

  • Yeremia 27:5
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 5 ‘Mimi ndiye niliyeiumba dunia, wanadamu, na wanyama walio duniani kwa nguvu zangu kuu na kwa mkono wangu ulionyooshwa; nami nimempa yeyote ninayetaka.*+

  • Danieli 4:17
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki