-
Danieli 2:12Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
12 Ndipo mfalme akashikwa na ghadhabu kali, akaagiza wanaume wote wenye hekima wa Babiloni waangamizwe.+
-
-
Danieli 2:14Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
14 Wakati huo, kwa busara na tahadhari Danieli alizungumza na Arioko mkuu wa walinzi wa mfalme, alipokuwa akienda kuwaua wanaume wenye hekima wa Babiloni.
-