-
Ufunuo 1:13Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
-
-
13 na katikati ya vinara hivyo vya taa palikuwa na mtu kama mwana wa binadamu,+ aliyevaa vazi lililofika chini miguuni na kifuani alikuwa amevaa mshipi wa dhahabu.
-