Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Lugha ya Alama ya Tanzania
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • Mathayo 8:13
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 13 Kisha Yesu akamwambia yule ofisa wa jeshi: “Nenda. Na iwe kama ulivyoamini.”+ Na yule mtumishi akapona saa ileile.+

  • Mathayo 9:22
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 22 Yesu akageuka, na alipomwona, akamwambia: “Binti, usiogope! Imani yako imekuponya.”+ Na kutoka saa hiyo, yule mwanamke akapona.+

  • Mathayo 15:28
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 28 Ndipo Yesu akamwambia: “Ewe mwanamke, imani yako ni kubwa; na itendeke kama unavyotaka.” Na kuanzia saa hiyo binti yake akapona.

  • Yohana 4:51, 52
    Tafsiri ya Ulimwegu Mpya
    • 51 Lakini akiwa njiani akakutana na watumwa wake, wakamwambia kwamba mwanawe yuko hai.* 52 Kwa hiyo akawauliza saa ambayo alipata nafuu. Wakamjibu: “Alipona homa jana saa saba.”*

Tanzanian sign language publications(2020-2025)
Toka
Ingia
  • Lugha ya Alama ya Tanzania
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki